Tuesday, June 16, 2009

Phantom aja na bonge la shipaaaaa............


phantom ranks a.k.a Gheto ambasador..baada ya kukaa kwa muda mrefu hatimae aja na bonge la pini ambalo kafanya katika stidio ya Kweli records,studio iliyo na makazi yake mitaa ya msasani.

tulipo zungumza na phantom mwenyewe alisema...hii ameitoa mahususi kwa ajili ya mashabiki wake wote,,hususani wapenda burudani

No comments:

Post a Comment