![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgc0P_-rRbti5K7lvvBLUWevSOmoS68_nEbBYanJ-MXvg9Lh5AADch10HMNdPFK9cSS3vClZV-Bk9op5wh8qMT32tDQlGtgcdXsh-Zh2525a5Yg3XcA5_zqNppq18ITdqPewGVPola1_54/s320/man%2520beenie.jpg)
miaka ya 90's beenieman aliungana na wanamuziki wengine kama shaba ranks, Ninja man, na admiral bailey kipindi bado hajajulikana kimataifa.mwaka 1992 alipata nafasi ya kupaform kwenye reggae sprash festival alipokutana na bounty killer, beenie man alichukua nafasi ya kuchukua tuzo ya single bora ya mwaka 1993,mwaka 1995 mshikaji aliachia albam iliyokwenda kwa jina la blessed aliyoifanya studio za island record.
Aleanza kufanya colaboration na dennis brown,madcobla. pia alifanya na lady saw"healing"na sanchez"refugees" pia "gun n bass".
Miaka ya 90's beenman aliachia nyimbo ambazo zilimuweka kwenye ramani ya muziki kama vile Romeo,Who am i na the Girls dem sugar ambayo alimshirikisha mwanamziki wa kimarekani mya.pia alishamshirikisha mwanadada wa kimarekani Jannet Jackson single iliyojulikana kama Feel it boy aliyoiachia miaka ya 2004 iliyofuatiwa na remix ya Dude.
Beenie man alishawai kuchukua King of dancehall na hivi karibuni anatarajiwa kupiga show kabambe hapa nchini Tanzania kwa sababu mshikaji yuko tight si kwa sauti yake tu na cheo chake cha uprophet mwanablog wetu alifanya nae maojiano live akasema "mi wan fi du di wicked tinng in Tanzania mi nuh chaccty chaty dj... ahhhhhh" alisema beeenie man.
No comments:
Post a Comment