Thursday, July 9, 2009

JAHSON DANCEHALL ARTIST


Jahson ni msanii wa dancehall anayekuja kwa kasi ya juu sana,ameshawai kufanya recordings tofauti katika studio tofauti hapa nchini na hata nchi za nje,amefanya nyimbo ya tunabeng kwenye studio za 3 in one records na ana track mpya inayojulikana kama nakupenda kweli ambayo amefanya na phantom na hardmad wote wakiwa wanaunda kundi la KAKA ZAO.nina mpango wa kutoa album bado kuna nyimbo kama mbili hivi ambazo ziko kwenye process za mwisho alisema Jahson

No comments:

Post a Comment