Wednesday, July 1, 2009

RAGGA STAR ZAGAMBA MAMBA APATA AJALI

Mwanamuziki kutoka mwanza anayejulikana kwa jina la jitaman a.k.a zagamba mamba simba wa ulanga wenye roho mbaya wataisoma namba, anayetamba sasa na video ya MAISHA kwenye vituo mbalimbali hapa nchini na hata nchi za nje,alipata ajali ya piki piki akiwa maeneo ya iloganzala mjini mwanza, ajali iliyotokea mida ya saa 8 usiku akiwa anaendesha mwenyewe.mwana blog wetu alimtembelea hospitali ya bugando jijini mwanza na kumkuta akiwa na maendeleo mazuri.picha zake akiwa hospitalini zitakuwa hewani kesho usikose kufuatilia blog kesho.

No comments:

Post a Comment