Friday, October 2, 2009

ELIZABETH

Wengi wanaomfahamu Elizabeth Gupa ni binti ambaye ni mchanganfu na mcheshi sana kila sehemu anapokwenda,kitu ambacho kimemfanya kuishi vizuri na watu tofauti tofauti na kujikuta kuwa kipenzi cha watu wengi, Elizabeth gupta ni binti anayependa sana kutoka out na kuchil na marafiki hasa siku za week end, amekuwa ni mfano wa kuigwa hasa kwa mabinti wengi sana hapa mjini kwa upiganaji na kuangaika katika kutafuta maisha.
Hivi sasa ni mmoja wa big brother contenstant 2009 ambaye anapewa nafasi kubwa ya kushinda mashindano hayo,akiwa anaiwakilisha Tanzania.
Kabla ya hapo Eliza aliokuwa hangary akifanya Tv presenter.

No comments:

Post a Comment