Tuesday, June 23, 2009

HASHIMU THABITI KULAMBA MAISHA YA UKWELI



Hashimu thabiti kijana wa kitanzania mwenye umri wa takribani miaka 22 ambaye amepata nafasi ya kuingia NBA ligi ya kikapu huko marekani.usajiri wake umegharimu takriban dollar za kimarekani 19 million ambazo ukizibadilisha kwa pesa ya Tanzania ni takriban billion 20.Hayo ni mafanikio makubwa sana na nichangamoto kwa vijana wengine wenye uwezo kama aliyokuwa nao hashimu.Hashimu ana urefu wa futi 7.3 inches na uzito wa zaidi ya kilo 95 mwenye uwezo wa kuruka 1.25 hewani na kutembea kwa muda wa sekunde kadhaa hewani uwezo ambao alikuwa nao mchezaji michael joldan ambaye sasa ameshastaafu.mnyetishaji wetu aliongea na mmoja wa rafiki yake wa karibu sana anayejulikana kama alex masalakulangwa au tolu b ambaye anamiliki internet cafe yake pale kinondoni kanisani,jamaa naye ni mrefu sana karibu 6.1inches.

1 comment: