Tuesday, June 23, 2009

MKALI TUNAYEMFAHAMU

Ahmad seleman Mnonji a.k.a Hardman au Slim wiked lion.
Nimsanii wa zamani sana aliyepata kutamba na kibao chake cha Tamala pamoja na ni wewe,Amekaa kinya sana lakini kinya chake akikumaanisha kwamba ameishiwa mashairi,mwana blog wetu alifyana nae maojiano na nakupata maelezo kutoka kwake:
alisema hivi sasa ana albamu nzima ambayo ina nyimbo nyingi kama vile Outer control,Mkali ninayemfahamu nazingine kali,hardmadi alisema hivi sasa yuko kambini na jeshi lake ama kundi lake linalojulikana kama KAKA ZAO ambalo linaudwa na watu watano ambao ni phantom lanks,fatma(dada yake na hardmad), Man susu na Jahson. wamejipanga vizuri nakuanjaa mashambulizi mkwa mafisadi au wanyonyaji wa muziki wa kitanzania tarehe 26 watakuwa wakifanya show kabambe kahama na mwanza.

No comments:

Post a Comment