Tuesday, June 23, 2009

UNAMJUA MTU MREFU KULIKO WOTE DUNIANI


Huyu jamaa ndiye anayesadikika kuwa mtu mrefu kuliko watu wote duniani anajulikana kama titch jina lake la utani na jinalake halisi ni Bao Xishun kiatu chake anachovaa ni size namba 27 na maranyingi uwa anatoa special orde kutoka kiwandani picha hapo chini yuko na mzee wa miaka 39 ambaye anasadikika kuwa mtu mfupi kuliko wote duniani

No comments:

Post a Comment