Tuesday, June 23, 2009

BIG BROTHER 2009 KWA MAKEKE BONGO WATU WAMWAGA MACHOZI WENGINE KUZIMIA

Ilikuwa siku ya tarehe 17 paleeeee movenpick ama loyal palm Dar es salaam watu walipokwenda na kujikusanya kwa ajili ya usahili wa mashindano hayo jamaa mmoja rastaman wa kinondoni ambaye jina lake tunalifunika kapuni alimwaga machozi na kulia kama mtoto kwa uchungu baada ya kukosa nafasi tulivyojaribu kufuatilia tulipata nyeti kwamba huyo rasta aliaga kwao na kumuakikishia demu wake kwamba lazima aende south lakini mambo yalienda kombo ni aibu sana mazeeeee

No comments:

Post a Comment