Tuesday, June 23, 2009

SUSU MAN MKARI WA R&B


huyu ni man susu msanii wa bongo fleva ambaye anakipaji cha hali ya juu lakini ajapata bahati ya kutoka kutokaba na game la bongo lilivyo chenga chenga mchizi anaimba sana na kufoka pia ni kichwa sana kwenye upande wa uhandishi hasa kwa nyimbo za mapenzi amepata kuandika nyimbo kadha wa kadha ambazo zimehiti sana hapa bongo.pia amesha shirikishwa na chereaman kwenye nyimbo ya hata nikisema.mchizi yuko kambini anajifua mipango yake ni mi mingi sana ususani kwenye music game kwa habari fuatilia blog men

No comments:

Post a Comment