Tuesday, June 23, 2009

MTOTO MWENYE MAAJABU ASIYEJULIKANA

Mto huyu hana mwaka mmoja, Jina lake halisi ni alkani(majina ya amerika ya kusini) ni mtanzania ambaye amezaliwa hapa hapa.baba yake ni mwanamuziki wa bongo fleva mtoto huyu alimshauli baba yake kufanya remix ya nyimbo fulani iliyokuwa heat miaka ya karibuni na babada ya baba mtoto kuitikia wito alisaidiana na mtoto huyo huyo kuandika mashahili ya remix ya nyimbo kitu ambacho kiliwashangaza wengi.
kwa sasa yuko akiishi na bibi yake lakini mara nyingi umshawishi baba yake ampeleke shule lakini ki ukweli bado ni mdogo sana.
Mtoto huyu ana uwezo wa kuongea lugha 14 zikiwemo kijamaica, kiyahudi, kingeleza,kihindi na zingine nyingi lakini hajui kuongea kiswahili kitu ambacho kinawasgangaza wengi.ana urefu wa futi 2 na uzito waa kilo 78 ni mwongeaji sana huyo mtoto mwenye uwezo wa kuongea maneo mazito yenye point mpakamtu mzima ukabaki umeduwaa kwa taharifa fatilia blog

No comments:

Post a Comment