Tuesday, June 23, 2009

MSHIKAJI ANAYECHUANA KWA UREFU NA HASHIMU THABITI AMBAYE SASA YUKO NBA


Huyu ni alex tulu akiwa offisini kwake jamaa ni mrefu sana yapata futi 6.7 kwenda juu ambaye anapichana na hashimu thabiti kijana ambaye yuko ligi ya NBA marekani,mchizi anapiga sana game ya kikapu na nilijalibu kufanya maojiano nae akasema asubili wadhamini wa kumpiga jeki kwa ajili ya kupaa pamoja na urefu aliyopewa na mwenyezi mungu mchizi anauweza wa kudrible mpira wa basket, nikiwa na maana hana tarent ya kucheza kikapu miaka yake hakutaka iwekwe hewani ila mchizi katokea mwanza big up tolu

No comments:

Post a Comment