Wednesday, July 8, 2009

FUTUI WAJUUUUUTA KUZUSHA KIFO CHA JITAMAN

Kikundi cha waigizaji kinachorushwa na moja ya televisheni hapa tanzania kimejuta kwa kuzusha habari za uongo kuhusu kifo cha msaniii wa bongo freva jitaman a.k.a zagamba mamba mwenye maskani yake Jijini mwanza(Rock city).
Majuto hayo yalidhihilisha kuwa kikundi hakikuwa nimetoa habari za kueleweka.nanukuu" mama naomba radhi kama mkurugenzi wa kikundi kwa habari zilizotolewa na kikundi niko chini ya miguu yako"mkurugenzi alinukuliwa akimwomba radhi mama mzani wa jitaman aliyekuwa amejawa na ghadabu nusura ampige makofi mkurugenzi huyo.

No comments:

Post a Comment