Friday, October 2, 2009

ELIZABETH

Wengi wanaomfahamu Elizabeth Gupa ni binti ambaye ni mchanganfu na mcheshi sana kila sehemu anapokwenda,kitu ambacho kimemfanya kuishi vizuri na watu tofauti tofauti na kujikuta kuwa kipenzi cha watu wengi, Elizabeth gupta ni binti anayependa sana kutoka out na kuchil na marafiki hasa siku za week end, amekuwa ni mfano wa kuigwa hasa kwa mabinti wengi sana hapa mjini kwa upiganaji na kuangaika katika kutafuta maisha.
Hivi sasa ni mmoja wa big brother contenstant 2009 ambaye anapewa nafasi kubwa ya kushinda mashindano hayo,akiwa anaiwakilisha Tanzania.
Kabla ya hapo Eliza aliokuwa hangary akifanya Tv presenter.

washiriki wa miss tanzania wakiwa katika maandalizi ya kugombea taji shindano litatalo fanyika siku ya 02/10/2009


Thursday, July 9, 2009

NINA NDOTO ZA KUWA WAZIRI KAMA SERIKARI ITANIONA NA MIMI!!


JAHSON DANCEHALL ARTIST


Jahson ni msanii wa dancehall anayekuja kwa kasi ya juu sana,ameshawai kufanya recordings tofauti katika studio tofauti hapa nchini na hata nchi za nje,amefanya nyimbo ya tunabeng kwenye studio za 3 in one records na ana track mpya inayojulikana kama nakupenda kweli ambayo amefanya na phantom na hardmad wote wakiwa wanaunda kundi la KAKA ZAO.nina mpango wa kutoa album bado kuna nyimbo kama mbili hivi ambazo ziko kwenye process za mwisho alisema Jahson

KAKA ZAO WAPIGA BONGE LA SHOW KWENYE JIPANGE BASH MIKOA MBALIMBALI YA NCHINI HAPA, WABINTI WAPAGAWA MPAKA KUTUPA NGUO ZAO ZA NDANI









Katika jipange bash tour iliyofanyika baadhi ya mikoa hapa nchini,kaka zao walipiga bonge la show na kupagawisha baadhi ya mashabiki kuvua nguo zao za ndani na kuwatupia vijana hao mahiri wenye vipaji vya pekee vya kushambulia jukwaa na kuimba kwa muda mrefu zaidi kitu ambacho mashabiki wengi ukipata kwa wasanii wachache. hizzi ni baadhi tu ya picha wakati wa show yao vijana hao

Wednesday, July 8, 2009

D7 MTANGAZAJI WA KISS FM MWANZA AKIWA ANAELEKEZWA YUTI GHETOZ NA GHETO YUTI AMBASSADOR MILITARY COMMENDER LOVER SESSO GENERALY WA MABABY PHANTOM RANK


DU!!! FUTUI WANAZUSHA VIBAYA SANA NTAPAMBANA NAO WE TULIA







JOE MAKIN A.K.A MWAMBA WAKASKAZINI AKIWA NYUMBANI KABLA HAJAANZA HIP HOP

Hanayesadikika kutishia amani ya hiphop nchini Tanzania joe makini hapa hakiwa nyumbani kwao alikozaliwa kabla ya kuanza fani ya music.
Joe makini amekuwa ni tishio sana hapa nchini Tanzania si kwa beats tu anazopita anapofanya nyimbo bali pia na mashahili yake yameonyesha kuwavutia watu wengi hasa wapenzi wa hip hop Tanzania.

FUTUI WAJUUUUUTA KUZUSHA KIFO CHA JITAMAN

Kikundi cha waigizaji kinachorushwa na moja ya televisheni hapa tanzania kimejuta kwa kuzusha habari za uongo kuhusu kifo cha msaniii wa bongo freva jitaman a.k.a zagamba mamba mwenye maskani yake Jijini mwanza(Rock city).
Majuto hayo yalidhihilisha kuwa kikundi hakikuwa nimetoa habari za kueleweka.nanukuu" mama naomba radhi kama mkurugenzi wa kikundi kwa habari zilizotolewa na kikundi niko chini ya miguu yako"mkurugenzi alinukuliwa akimwomba radhi mama mzani wa jitaman aliyekuwa amejawa na ghadabu nusura ampige makofi mkurugenzi huyo.

WAZEE WA URODA WAAMBULIA NGOMA KWA SAIDA KAROLI


SAIDA KAROLI ambaye aliwai kutamba na kibao cha chenkula, chambua kama karanga na vibao vingine vikali alivofanya kiasili ya bukoba vilivyomuweka juu siku za nyuma karibuni na kufanya nyota yake kukua Tanzania nzima.
Mwanadada huyo mwenye asili ya kihaya hivi karibuni alipata kufanya show nyumbani hapo bukoba show ambayo ilikua ikisubiriwa na wengi mkoani hapo.Mwanablog wetu alifanya uchunguzi ali kuweza kubaini ni kwa nini watu walikuwa wakisubiri kwa hamu show ya mwanadada huyo ambayo ilisindikizwa na wasanii wakali wa bongo kama Hardmad, chidi benz na berry 9 ambaye anatamba sasa na kibao cha SUMU YAPENZI.
uchunguzi wa mwanablog wetu ulionyesha kwamba wengi walimsubili mwanadada huyo kwa sababu siku nyingi zilipita bila ya kusikika hewani mwanadada huyo lakini tathmini nyingine ilionyesha kuwa wazee wengine majina yao yanaweka kapuni walikwenda kwenye show ya saida karoli kwa ajili ya kumsalandia lakini juhudi zao ziligonga mwamba,walijikuta wakiishia wakicheza ngoma kwenye show bab kubwa aliyopigwa na mwanadada huyo

Wednesday, July 1, 2009

RAGGA STAR ZAGAMBA MAMBA APATA AJALI

Mwanamuziki kutoka mwanza anayejulikana kwa jina la jitaman a.k.a zagamba mamba simba wa ulanga wenye roho mbaya wataisoma namba, anayetamba sasa na video ya MAISHA kwenye vituo mbalimbali hapa nchini na hata nchi za nje,alipata ajali ya piki piki akiwa maeneo ya iloganzala mjini mwanza, ajali iliyotokea mida ya saa 8 usiku akiwa anaendesha mwenyewe.mwana blog wetu alimtembelea hospitali ya bugando jijini mwanza na kumkuta akiwa na maendeleo mazuri.picha zake akiwa hospitalini zitakuwa hewani kesho usikose kufuatilia blog kesho.

Friday, June 26, 2009

Wednesday, June 24, 2009

UNAMFAHAMU VIZURI BEENIE MAN?

Msanii wa raggae Beenie man a.k.a The Doctor a.k.a Ras moses a.k.a The girls dem sugar,ambaye kwa jina la kuzaliwa anajulikana kama Anthony Moses Davis.Alizaliwa king ston Jamaica august 22 1973, alianza muziki akiwa na umri dogo sana takriban miaka nane,chini ya suport aliyopewa na uncle wake Sydney Wolf ambaye ni mpigaji mzuri wa drums alishinda kinyang'anyilo cha vipaji bora vya wasanii mwaka 1981 ndipo alipopata jina lake la beenieman na kupata kufanya mkono mmoja (single) "Too fancy" mwaka 1981 chini ya producer Hennry Junjo.
miaka ya 90's beenieman aliungana na wanamuziki wengine kama shaba ranks, Ninja man, na admiral bailey kipindi bado hajajulikana kimataifa.mwaka 1992 alipata nafasi ya kupaform kwenye reggae sprash festival alipokutana na bounty killer, beenie man alichukua nafasi ya kuchukua tuzo ya single bora ya mwaka 1993,mwaka 1995 mshikaji aliachia albam iliyokwenda kwa jina la blessed aliyoifanya studio za island record.
Aleanza kufanya colaboration na dennis brown,madcobla. pia alifanya na lady saw"healing"na sanchez"refugees" pia "gun n bass".
Miaka ya 90's beenman aliachia nyimbo ambazo zilimuweka kwenye ramani ya muziki kama vile Romeo,Who am i na the Girls dem sugar ambayo alimshirikisha mwanamziki wa kimarekani mya.pia alishamshirikisha mwanadada wa kimarekani Jannet Jackson single iliyojulikana kama Feel it boy aliyoiachia miaka ya 2004 iliyofuatiwa na remix ya Dude.
Beenie man alishawai kuchukua King of dancehall na hivi karibuni anatarajiwa kupiga show kabambe hapa nchini Tanzania kwa sababu mshikaji yuko tight si kwa sauti yake tu na cheo chake cha uprophet mwanablog wetu alifanya nae maojiano live akasema "mi wan fi du di wicked tinng in Tanzania mi nuh chaccty chaty dj... ahhhhhh" alisema beeenie man.